Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 120,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU JUU KM1.5 USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA NA SEHEMU YA JIKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU WAWILI
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
NB: UKILIPIA KODI UTALIPIA NA HELA YA USAFI NA MAJI KWA MWEZI 20000×6
CHUMBA KINAPIGWA RANGI CHOTE KINAPENDEZA UNAINGIA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347