Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM FOR RENT
LOCATION
UBUNGO KIBO
DK 12 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 200,000/=X6
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA LENYE KABATI
UMEME LUKU NI SUBMETER
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
MAZINGIRA SAFI USALAMA SAFI
KUONYESHWA NYUMBA 15 ELFU
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258