Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA NA SEHEMU YA JIKO INAPANGISHWA KODI 120,000X6
MAJI DAWASCO YANAFLOW CHOONI UMEME MNASHEA WAWILI NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA SANA
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM1.5 USAFIRI BAJAJI 500 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID AU KIMARA BARUTI OR KIMARA KOROGWE KOTE UNAFIKA
NB: HELA YA MAJI NA USAFI KWA MWEZI 20000 UNALIPIA KWA MIEZ6 JUMLA 120,000
CHUMBA KINAPIGWA RANGI VZR NDIO UNAINGIA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347