Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location ubungo riverside kibangu juu km1
Kodi 200000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Kitchen with cabinet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space
Paving block
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















