Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana mpya kabisa
Location ubungo makoka
Kodi 230000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space kubwa
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128