Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







#APARTMENT ZIPO 4 KWENYE COUMPOUND NZURI YA KISASA
#BEI 200,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#LUKU SUBMETER NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#APARTMENT IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#BEI NI 200,000 X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO #UBUNGO_RIVERSIDE_KIBANGU DKK 15 KWA MIGUU
#USAFIRI BAJAJ 700 KUTOKEA UBUNGO RIVERSIDE UKISHUKA UNATEMBEA DKK 1 TUU KWA MIGUU
🌟 KUONESHWA NYUMBA HII UTALIPIA PESA SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA YA UDALALI
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316Whatsp
#0769680796whtsp