Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


#Repost dalali_mkuu_ubungo_kimara _ubungo
APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 200000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU KM 1 USAFIRI BAJAJI 500
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#AINA SEBULE
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE AKUNA PEVING BLOCK ZINAWEKWA ๐ซ
NB: KUINGIA TAREHE 18/05/2025 KUONA KULIPIA RUKSA