Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location ubungo kibo dakika 8 kutembea mpaka home
Kodi 200000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master na Jiko
Umeme sapumita
Maji dawasa ndan yanafloo
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128