Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 260,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA UBUNGO EXTRENAL AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO LA MAKABATI
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ
NB: NYUMBA INAKUWA WAZI TAREHE 10/11/2025 KUONA KULIPIA RUKXA MPANGAJI AKIWEPO
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347