Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 200,000X3
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU KM 1 USAFIRI BAJAJI 500
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20000 KWENDA KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347


















