Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam


Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
200m
Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAUZWA KIGAMBONI KISIWANI 🙏🙏
Nyumba ni mfumo wa boma yan bado ijamalizika✅
Asking about price<>22M/= tajir Note:bei aipungui 🙏
Nyumba ni fenced house✅
Nyumba Ina mfumo wa Kalo tayar✅
Nyumba ni chumba kimoja sebule na jiko✅
Nyumba ipo mtaa wa kiwanda cha rangi kisiwan✅
Ni mita 200 kutoka stend ya mabus ya kariakoo ✅
Kwa mawasiliano zaid☎️
0788129591 au
0653713313
WhatsApp:wa:me/+255788129591



















