Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kimanzichana, Pwani


Eneo linapatikana LAKE MANZI KIMANZICHANA MKURANGA.
📍Ukubwa wa eneo ni HEKA 2.5 na HEKA 5
📍Mita 60 za kutokea ziwa zimetolewa kwenye ukubwa huu wa heka 2 .5 na heka 5
📍Eneo limepakana na ziwa manzi( limeshika maji)
📍Eneo linafaa kujenga nyumba ya ndoto
📍Linafaa camping site
📍Linafaa kwajili ya kilimo na ufugaji
📍Umbali kutoka barabarani ni KM 1.5 tu
📍eneo lina chumba kimoja cha tofali na kisima
📍eneo lina mazao ndani
Bei yake 2.5 heka ni TSH 35,000,000
Heka 5 ni TSH 70,000,000
UTARATIBU WA SITE TUPIGIE au WHATSAPP 0785367831
GHARAMA YA SITE VISIT NI TSH 30,000




