Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X6)KIMARA TEMBONI 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖
SIFA YA NYUMBA NI
Vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja nimast Sebule kubwa sana na jiko zuri Nyumba haipo kwenye fence ila Mazingira mazuri sana
BEI YA PANGO NI 250,000 X 6
NYUMBA NI MPYA MPYA
UKILIPA UTAPEWA SIKU 5
KUINGIA WAHI UCHUKUE NYUMBA
USAFIRI BAJAJI ZIPO 700
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 2
BODABODA SH 1000
HADI MLANGONI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 ITADUM MPAKA UPATE NYUMBA
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024