Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kitunda, Dar Es Salaam







JUMBA KUBWA SANA LINAUZWA KITUNDA MAGOLE KWA MPEMBA
πBEI MILION 55 INAPUNGUA
πINA VYUMBA V4 CHUMBA KIMOJA MASTA SITING,DINING,JIKO
CHOO NA BAFU
NYUMBA INA MAJI NA UMEME πIPO NDANI YA FENSI
INA ENEO KUBWA UNAWEZA KUJENGA NYUMBA NYINGINE KUBWA
πENEO SQM 700 (makadilio)