Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
NYUMBA INA PANGISHWA STAND ALONE
BUNJU BEACH MOGA
----------
Vyumba 4 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Heater ya maji moto maji baridi
Full air condition
Garden safi
Kuna servant corter
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 2,700,000/=Γ6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 2.7
-----------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693__673010
#Dalali_big_goba_mbezi_beachπΉπΏ