Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
___________
LOCATION: BUNJU 'B' - Njia ya Kwenda Mabwepande.
___________
Nyumba ina Vyumba 4 vya kulala, Vyumba 1 Master, Sebure, Dinning, Stoo, Jiko, Public Toilet na Parking.
KODI: Tsh. 300,000/=Kwa Mwezi
___________
Service Charge: Tsh.20,000/=
Call/WhatsApp: 0687800788