Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA INAJITEGEMEA ๐ก๐ INAPANGISHWA
MAHALI: BUNJU BEACH ๐ MOGA
INA VYUMBA VINNE CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE DINING JIKO NA PUBLIC TOILETS PIA INA FULL A/C
KODI: TSH 800K KWA MWEZI
KWA MAWASILIANO ZAIDI
Call/ Whatโs up
+255673772289
Email:dalaliboris@gmail.com