Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







#STAND_ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INA PANGISHWA
#KODI 600,000X6
LOCATION: #MBEZI_KWA_ROBART
#VYUMBA VINNE VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#BAFU LAKE
#JIKONI KUNA WEKWA MAKABATI
#STORE KUBWA
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA PEVING ZITAWEKWA
#UMBALI TOKA GOBA ROAD NI DAKIKA 6-7 KWA MGUU
MAJI YANA TILILIKA NDANI NA KUNA RESERVE TANK HAPO
NDUGU MTEJA NYUMBA HII NI MPYA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE
#KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 20,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747