Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


#STAND ALONE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA #MBEZI_MWISHO . ROUND ABOUT YA GOBA
NYUMBA INA VYUMBA VINNE (4) VYA KULALA NA VIWILI MASTER BEDROOM
PIA KUNA CHUMBA KIMOJA CHA NJE( SERVANT CORTER)
Sebule kubwa
Dining room
Jiko la kisasa ndani na nje
Public toilet
Luku
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Full a/c
Garden 🏡
Full security
Parking kuuuuubwaaaa sanaaa
Umbali KM 1.5 Usafiri bajaji au pikipiki 1000
Kodi 400,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
PIGA SIMU
0719969102