Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
#STAND_ALONE_INAJITEGEMEA_HII INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #400K
Vyumba 4 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko na public toilet
Kodi 400,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 2 barabara safi ya Lami Bajaji zipo
ENEO kubwa Sana unaweza kulima au kufuga
Pembeni kuna servant corter ina mlinzi
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0713320608
0686334182