Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa inajitegemea sifa zake ni
Vyumba 4 Vya kulala vyumba 3 ni master bedroom
Sebule Kubwa sana jiko
Full A. C
Kodi Laki 5 na nusu tu
Ipo kigamboni mji mwema kibugumo ni kalibu na barabara tuwasiliane mapema
๐โ 0746914709
Au ๐โ 0718630932