Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location darajani
<> vyumba vinne
<> vyumba viwili master
<> sebule
<> dining
<> jiko kubwa na linamakabati
✅nyumba iko fenced
✅nyumba inajitegemea
✅nyumba mpya kabisa
✅nyumba Ina mazingira mazuri
✅nyumba nzuri na safii
✅nyumba Ina parking kubwa
<> asking price 700k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> service charge 20k
🔳Mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837