Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kigogo, Dar Es Salaam







APARTMENT 1 NA MAPAGALE-VYUMBA 4,TSHS.40 MILIONI, KIGOGO-FRESH,PUGU/ILALA.
KIGOGOFRESH ni eneo ambalo lipo umbali wa wastani wa kilomita 25 kutoka POSTA baada ya Kituo cha KONA ukielekea CHANIKA.
Daladala moja tu unafika Kariakoo.
Hizi nyumba zimekusudiwa kuwa za KUPANGISHA.
.
Kuna APARTMENT moja ya kisasa ILIYOKAMILIKA,
ambayo ina Chumba kimoja (1) cha kulala,
Sebule na Jiko.
PIA kuna MAPAGALE MAWILI:
●Lipo lililoishia hatua ya kwenye LINTA.
●Lingine lipo katikati KUFIKIA hatua ya LINTA.
Yote Mawili mpangilio wake ni:
●Chumba 1,Sebule,Jiko,Choo.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 570.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________tp
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.