Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kiluvya, Pwani
#STAND ALONE/INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA #400K
==
Vyumba 4 vya kulala viwili ni master bedrooms sebule dinning jiko stoo na public toilet
=
Kodi 400,000 Kwa mwezi × 6
==
Ndani ya fence kubwa Sana parking ya kutosha na sehemu ya kulima Lima au kufuga
=
Umbali KM 1.2 Usafiri bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Contact 0712474756