Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI STAY ALONE INAPANGISHWA KODI TSH 500000x6
IPO KIMARA KOROGWE
KODI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
NYUMBA INAJITEGEMEA KILA KITU NA INA PARKING YA GARI MOJA TU
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI MAZINGIRA MAZUR GARDEN SAFI
SERVICE CHARGE TSH 20000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258