Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI KUBWA INAPANGISHWA BEI NI MILIONI MOJA KWA MWEZI (1,000,0000/= X 6 )
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/12/2024
π NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA LA NDANI NA NJE
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#GARDEN NZURI
#PAVING
#ULINZI WA FENSI KUBWA YA UMEME
KUNA SERVANT COTER YA CHUMBA MASTER NA JIKO LAKE NZURI
BEI NI 1,000,000/= X 6
π«π« NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI 500 AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710