Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(350,000X6)KIMARA SUKA 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD,BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖
#STAND_ALONE/ NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE ENEO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA #350k
====
Vyumba 4 vya kulala
Kimojawapo master bedroom
Sebule kubwa Sana
Dinning kubwa
Jiko kubwa
Stoo
Public toilet
===
Bei:350,000 Kwa mwezi ×6
====
INAJITEGEMEA umeme na maji, fence ya waya parking IPO
===
Umbali KM 2 Usafiri bajaji zipo
===
Kupelekwa kuona NYUMBA elfu 15
====
CONTACT US: