Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KISASA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA TEMBONI KM1.5 KUTOKA LAMI
-----
Vyumba 4 vya kulala 2 master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Kuna gereji 2
Na sehemu ya kupumzikia
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
------
Service charge 15,000/=
Kodi 450,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4 5
------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara๐น๐ฟ๐ฅ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐



















