Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam





BANGALOO INAPANGISHWA KODI TSH 800000x6
LINAFAA KWA FAMILIA KUBWA STAND ALONE
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 4 VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA SANA LENYE KABATI
#DAINING TABLE
#STORE 2 YA NJE NA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS
#VYUMBA VYOTE VINAKABATI ZA NGUO
#ICE SEBLENI
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MATANK YA KUTOSHA MAJI DAWASA 24HRS
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA NZURI KWA GARI ZOTE
#BEI NI 800,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SERVICE CHARGE TSH 20,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258