Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 700,000/= X 6
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA LIMEFUNGWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUSOMEA WATOTO
#STORE
#AIR-CONDITION
#PARKING KUBWA
BEI NI 700,000/= X 6 MAONGEZI YAPO
๐ซ๐ซ NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
====
CONT
0683234124
0718367179