Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐ (๐ฆ๐๐ฎ๐ป๐ฑ ๐ฎ๐น๐ผ๐ป๐ฒ): Ni nyumba kubwa ambayo ipo peke yake kwenye fensi. Ina vyumba vinne (4) vya kulala, chumba kimoja ni 'MASTER BEDROOM', Sebule kubwa yenye dining room, Jiko zuri kubwa la kisasa na choo cha public ndani.
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: KIMARA TEMBONI Upande wa kulia kama unatokea Ubungo. Umbali ni km 2 kutoka Morogoro road
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki tano tu (500,000/- Tshs) ร miezi 6 + Mwezi mmoja malipo ya Dalali
๐ฆ๐๐ฟ๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ kupelekwa kuona nyumba ni Tshs 10,000/- italipwa mara moja na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba zingine.
๐ฃ๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ: 0758 892945 (Pia inapatikana WhatsApp)