Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15
KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
>Nyumba ina vyumba 4 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom
>Sebule kubwa sana na
>Dinning room kubwa
>Jiko zuri ndani
Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii haipo kwenye fensi bado geti kuwekwa na ataweka piya njia yake yakuingia kwenye nyumba nayo ina malekebisho kidogo anaendelea kuiweka kwenye ubora mzuri
Mwenye nyumba anachukuwa pesa na utasubr wiki < 1> kuingia
KODI YA PANGO
________________
π°KODI kwa mwezi ni laki tatu nanusu tuu/=
(350,000)
X 6 tuu)
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka
CALL 0625606710
CALL 0783794666