Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KUBWA SANA YA KIFAMILIA INA PANGISHWA
KODI 500,000X6
KIMARA MWISHO DAKIKA 10 KWA MGUU
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA
KIMOJA MASTER NA INA MAKABATI YA NGUO
AC IPO KWENYE MASTER
NA PUBLIC TOILET YA NDANI
NA KILA CHUMBA KINA MAFENI
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT NNE
NA HII MOJA NDO IPO WAZI
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
BARABARA YAKE NI MKEKA HADI NYUMBANI HATA UWE NA GARI FUPI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0655256419