Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(700,000X6)KIMARA STOPOVER
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
𝙉𝙮𝙪𝙢𝙗𝙖 𝙆𝙪𝙗𝙬𝙖 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #𝙎𝙩𝙖𝙣𝙙_𝘼𝙡𝙤𝙣𝙚
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA STOP OVER
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 10 Kutoka Main Road.
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Dining
• Vyumba VINNE vya Kulala na 3 Vyote ni Master
• Jiko Kubwa lenye Makabati
• Choo Kizuri Ndani
• AC Sebuleni
• Heater za MAJI
• Garage ya Gari
Nyumba INAJITEGEMEA Yenyewe Ndani ya Fensi Parking ipo na UMEME LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 700,000 X 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
Inakuwa wazi Tarehe 05.1.2025...
Contact us:-
0716223412
0683597453