Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE NYUMBA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA
#VYUMBA 4 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#DAINING
#CHOO NA BAFU VYA NDANI
#HAKUNA MASTER
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA WAVU MAKUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI NI DAWASA NDANI
#NYUMBA HII INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI PARKING KUBWA SANA MAZINGIRA MAZURI YA NJE KWA WATOTO KUNA ZEGE SAFI KABISA HAKUNA TOPE
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0677370515
INATAKIWA KUPIGWA RANGI IPENDEZE ZAIDI