Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA
KODI 600,000X6
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU AU BODA 1000
VYUMBA VINNE VYA KULALA
KIMOJA MASTER KUBWA SANA
SEBULE KUBWA
DINNING
JIKO KUBWA FULL MAKABATI
STORE
NA SEHEMU YA KUSOMEA
HEATER YA MAJI MOTO
NA AC SEBULENI
NA VYUMBANI
NA MAFENI PIA
GARAGE YA KULAZA GARI
NA NNJE KUNA SERVANT COTER ZA CHUMBA SEBULE ZIPO TATU
KIFUPI UNAWEZA KUFUGA UNACHO HITAJI
NDANI YA FENS PARKING SPACE KUBWA SANA
VYUMBA VYOTE VINA MAKABATI YA NGUO
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
MAJI DAWASCO YANA FLOW NDANI NA MATENK YAPO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637