Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA SUKA DK8 KWA MIGUU . MALEKEBISHO YOTE YANA FANYWA
VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM 
SEBLE KUBWA 
DINNING ROOM 
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI 
PUBLIC TOILET 
MAJI YANA FLOW 
NDANI YA FENCE 
PARKING SPACE KUBWA 
KODI 500,000/=×6
SIMU 0659336751
WSP 0786085637




















