Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA YA KISASA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA KOROGWE KM1.5 KUTOKA LAMI . INAKUWA WAZI TAR 20.12.2024
KUONA NA KULIPIYA LUKSA.
-------
Vyumba 4 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Public toilet
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Full air condition
Garden safi
Kuna servant corter ya chumba master na jiko
Electronic fence
Paving block
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 1,000,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1
----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#Dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿