Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE NZURI KABISA INAPANGISHWA 600K X6
KODI NI LAKI SITA MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KM 1 USAFIRI BAJAJI DALADALA ZIPO BODA BUKU
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYA NDANI NA VIWILI VYA NJE JUMLA VYUMBA VINNE KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO LAKE KUBWA LA MAKABATI
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#STORE
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK
#FULL A.C KWENYE MASTER NA SEBULE
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 20,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA