Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kiseke, Mwanza
KISEKE MWANZA
NYUMBA INAPANGISHWA
VYUMBA VINNE VYA KULALA ((SELF 2))
SEBURE
DINNING
JIKO LA NDANI NA NJE
STORE
SERVANT QUARTER
VYUMBA VIWILI
PARKING YA KLUGGER 12
MITA 60 TOKA KWENYE RAMI
BEI 500K KWA MWENZI
MALIPO KUANZIA MIEZI 6
0787512343
NB
FAMILIA 1 NDANI YA FENSI