Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KUNDUCHI
-------
Vyumba 4 vya kulala master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Slide window
Maji yana flow
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 1,500,000/=Γ6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1.5
-----------
CONTACT
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_goba_mbezi_beach πΉπΏ