Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


STEND ALONE. STAND ALONE NYUMBA KUBWA NZURI YA KIFAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI MWISHO
UMBALI KUTOKA STEND NI KM 1 AU DAKIKA 15 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 4 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE 2 JUU NA CHINI
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
KODI 400000X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM:: 0672 673363