Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba Inayojitegemea(Stand Alone) Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Almas Street), Dar-Es-Salaam, Tanzania๐น๐ฟ
Ina :
๐ธ๏ธ Vyumba Vinne Vya Kulala
๐ธ๏ธ Sebule
๐ธ๏ธ Jiko
๐ธ๏ธ Parking Space
Inajitegemea kwenye Umeme na Maji
Nyumba ina eneo kubwa sana. Kwa maana inafaa kwa ofisi
Kodi : 4,000,000 Tsh Kwa Mwezi



















