Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
STAND ALONE INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH
KODI USD 2500$ KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
KUBWA YA KIFAMILIA
YENYE:-
Vyumba Vinne vikubwa vya kulala #MASTA #Sebule kubwa #dinning #Jiko zuri lenye #makabati #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks #Garden #swimmingpool
#Fenced House #gypsum
PAMOJA NA MALIPO YA dalali