Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
House for rent stand alone inajitegemea geti yake Kali Sana nzuri
Location Mbezi kibanda cha mkaa dakika 8 kutembea mpaka home
Kodi 600000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 4 moja ni Master bedroom
Sitting room
Daning room
Kitchen with cabinet
Fully A/C ndani
Public toilet
Umeme luku yake
Garden nzuri Sana
Maji dawasa ndan yanafloo mita yake
Paving block
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128