Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 387,747

NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/02/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING

BEI NI 500,000/= X 6

🇹🇿 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA

PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA KWENYE HII NYUMBA NA NJIA ZOTE NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343

lenardjackson
dalali_kimara_suka_leonard
lenardjackson

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

BEBA HELA KABISAAA APARTMENT CLASSIC FOR RENT KODI 550,000 Location:MBEZI KWA MSUGURI DISTANCE: KM 1...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

BEBA HELA KABISAAA APARTMENT CLASSIC FOR RENT KODI 550,000 × 6Location: MBEZI MWISHO MAGUFULI NEAR R...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 750,000,000

KIWANJA KINAUZWAMBEZI BEACH, KINATIZAMA BARABARA KUU YA MWENGE-TEGETA(BAGAMOYO ROAD)BEI YA KUUZA NI ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

500:000/=x6APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA WAPO NI M...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

APARTMENT ZA KISASA ZINAPANGISHWA Location: MBEZI KWA MSUGURI UMBALI KUTOKA STAND KM 1 TUBARABARA NZ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

500:000/=x6APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA WAPO NI M...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 750,000,000

Kiwanja Cha Biashara KinauzwaMahali: Mbezi BeachBei: Milioni 750☑️Kinatizama Lami (Mwenge-Tegeta)☑️U...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 750,000,000

KIWANJA KINAUZWAMBEZI BEACH, KINATIZAMA BARABARA KUU YA MWENGE-TEGETA(BAGAMOYO ROAD)BEI YA KUUZA NI ...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 13,000,000

KIWANJA 💥 KIWANJA 💥KIWANJA HIKI KIZURI SANA KINAUZWA NA KIPO SEHEMU NZURI SANA BEI NI MILIONI 13 M...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

#NYUMBA YENYE HATI YA WIZARA YA ARDHI INAUZWA MBEZI MSUMI WILAYA YA UBUNGO DAR ES SALAAM 🇹🇿 ➡️BEI:...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI INN/HIGH SIFA ZAKE # INAVYUMBA 3 VYA KULALA PIA VYUMBA...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 3,000,000

House For Rent ( Stand alone house)Mahali ni Mbezi Beach, Upande wa Chini Ina-vyumba Vitano vya kula...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,400,000

APARTMENTS YENYE VYUMBA VIWILI FULL FURNITURE INAPANGISHWABEI NI MILIONI 1,400,000 KWA MWEZI MALIPO ...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

$ 600,000

NYUMBA INAUZWAMBEZI BEACH GOIGPLOT SIZE 600FULL TITLE DEEDROOM 5 , 1MASTER4 SELF CONTAINEDSITTINGDIN...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

House for rent (Apartment)Country:- Tanzania City:-Dar es salaam Location:- Mbezi beach Upande wa ch...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6 🌟 APARTMENT H...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

CHUMBA SEBULE JIKO CHOOINAPANGISHWA BEI 350,000/=LocationMbezi beach jogooNyumba ni nzuri mnoo yakib...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6 🌟 APARTMENT H...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6 🌟 APARTMENT H...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA INAPANGISHWA INAVYUMBA VYA KULALA VINNE (4 )KIMOJA NI MASTERSEBULE DIANING NA JIKO PUBLIC TOI...