Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







HII NYUMBA INA PANGISHWA
IPO MBEZI
BEI NI 400,000/=x6
INA VYUMBA 4 VA KULALA KIMOJA MASTER NA JIKO LINA MAKABATI
INA SEBULE NA DAINING
DARAJANI NJIA YA ZONI
KUTOKA MBEZI STAND YA DALADALA DK 5 KWA MGUU
INA PANGISHWA
UMEME MITA YAKO
MAJI MITA YAKO
ZIPO APARTIMENT 2 TU
MOJA NYINGINE CHUMBA MASTER NA SEBULE JIKO 250X6
SERVICE CHARGE 15000
PESA YA DALALI MWEZI MMOJA
Contact 📲
0713661530_0783661530



















