Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
.
NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 500,000/=ร6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/02/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING
BEI NI 500,000/=ร6
๐น๐ฟ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMETA 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA KWENYE HII NYUMBA NA NJIA ZOTE NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI 20,000/=
Contact
0769138053