Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







IPO WAZI TAYARI NI YA KUHAMIA TUU NDUGU MTEJA 0689-547258
NYUMBA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= X 6
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PARKING KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 550,000/= X 6 FIXED PRICE
NYUMBA HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA VIZURI HADI KWENYE NYUMBA ZOTE NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
What saapp number 0689-547258