Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#STAND_ALONE MZURI SANA INAPANGISHWA  #LOCATION..KIMARA_TEMBONI 
  KUSHOTO KAMA  UNAELEKEA MBEZI
  KM/ 3 KUIFIKIA NYUMBA
USAFIRI BAJAJI  1000
UKISHUKA BAJAJI UNATEMBEA DK 5
SIFA YA NYUMBA HII 
#VYUMBA VINNE (4) VYA KULALA 
#CHUMBA KIMOJA MASTER  KUBWA SANA
#SEBULE
#DINING
#JIKO 
#PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
 
MAJI YANATOKA JIKONI NA  CHOONI
SIMTENK KUBWA LAKUIFADHI MAJI
NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
#KODI KWA MWEZI 450 X 6
 NYUMBA HII ITAKUAWAZI TAREHE/10/2025
 KUONA NAKULIPIA RUKSA
KWENDA KUONA NYUMBA ELFU 20,000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI KAMA UKILIPIA NYUMBA
CONTACT 
  CALL/WHATSAPP...O677370515




















